Muda: Saa 3 Jumatatu, 13 Julai 2020 asubuhi MAELEKEZO: Karatasi hii ina sehemu A, B na C zenye jumla ya maswali kumi na mbili (12). Jibu maswali yote katika sehemu A na B na maswali matatu (3) kutoka sehemu C. Zingatia maagizo ya kila sehemu na ya kila…